lesleyfofana81
1 Reviews
Hii shule ina ubaguzi mkubwa
Mm nilikuwa mfanya kazi katika shuke ya Al muntazir na kwa kweli nimekumbana na ubaguzi mkubwa kwangu na wafanyakazi wenzangu, walimu na hata watoto. Wanajiweka wao na wenzao kama kipaumbele na inasikitisha kwa kweli. Mwenyezi Mungu ndo anaelipa.